JUA CALI - NAJITOA (OFFICIAL MUSIC VIDEO) | DOWNLOAD MP3


Fifth single of the upcoming album 'MALI YA UMMA'
Audio By Benjah Beats (Calif Records)
Art/Animation By Wambaa Muiru
Directed By Thomeski LYRICS: Intro : Najitoa *8 VERSE 1
Naenda mahali kila siku ni sherehe
Naenda mahali kuna raha mstarehe Nitulie nisahau shida za dunia
Ni upendo tu na unaspread kila mahali
Nitulie nifanye kitu yoyote najiskia Hapa nimetupa stress zangu mbali
Juzi ilikua noma lakini sai tunaskizana
Mtu wangu akiwa chini namshikisha Mtu wangu akilia lia namtuliza Mambo ya chuki vita hapan taka
Keja nayo kila siku mlango wazi
Mahali nimetoka kila kitu bei ya juu Lakini hapa kila kitu bei nafuu Uwizi hakuna natembea bila wasiwasi
Camel ama Donkey ndio gari za hapa
Unangoja nini kuja huku tubambishe Mtu wangu kuja huku tushikishe..
CHORUS : Najitoa *8 VERSE 2 Mambo ya traffic jam hakuna hapa
Halafu baadaye niingie beach kuogelea
Panda moja nikuonyeshe hii mtaa Ya kipeke mahali usiku hakuna kulala Napiga soda yangu baridi nikipepea Me niko mteja hakuna network huku
Ukitaka kunipata mwenyewe kuja huku
Watu tafash pia hawako huku Wiki moja mbili zinapita Ata ukiniuliza me sijui vile ziliisha Nirudi mtaani hapana!!! Nirudi mjini hapana!!!
Usiku ikifika usipende kuona
Mpaka mwaka mpya tunairukia huku Ma Festivals na fireworks ndio zetu Tunakula raha unaeza fkiria huku ni kwetu CHORUS : Najitoa *8 VERSE 3
Hapa ni holiday kila siku me nakuambia
Hii ndio time mashetani wote wautoka Warembo wengi nashindwa nichague nani Nyuki hapa nitawapatia wote asali Itisha kitu yoyote me nitalipia Ona vile hio sunset mambo mbaya
Watu ni wa pole kila mtu yukona furaha
Strolling ya jioni hapa iko sawa Hewa ya huku jo ni tofauti Chakula ya huku inataste tofauti Makarau nao hawana noma Ukifanya blunder bigi ni rahisi kujitoa Mnasalimiana ata ka hamjuani
CHORUS : Najitoa *16 #JuaCali
Kuingia harusi kutoka matanga
Ningeishi hapa lakini narudi mtaani

Post a Comment

0 Comments